Chumba cha wanahabari

 • Ikoni ya maktaba ya Vyombo vya habari

  Kampeni

  Angalia kampeni zinazoangazia jumuia ya YouTube.

 • Ikoni ya maktaba ya Vyombo vya habari

  B-Roll

  Video kuhusu YouTube kwa wanahabari.

Takwimu

 • YouTube ina zaidi ya watumiaji bilioni moja. Hii ni takribani theluthi moja ya watu wote wanaotumia Intaneti. Kila siku watu hutazama video kwenye YouTube kwa mamia ya mamilioni ya saa na mara ambazo video hutazamwa huwa katika mabilioni.
 • Muda ambao watu hutazama video kwenye YouTube umekuwa ukiongezeka kwa takribani asilimia 50 kila mwaka kwa miaka mitatu mfululizo.
 • YouTube imejanibishwa katika nchi 88 na inapatikana katika lugha 76 tofauti, kiwango hiki kinawakilisha 95% ya idadi ya watu wanaotumia intaneti ulimwenguni.
 • Pata maelezo zaidi

Anwani za kutumiwa na Wanahabari

Unaweza kuwasilisha maswali kutoka vyombo vya habari kuhusu YouTube kwenyepress@youtube.com.