Loading...

Mpango "Ndani ya chumba cha kesi" Uamuzi wa kwanza wa CPI (tarehe 15 mwezi wa 3 mwaka 2012).

288 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Mar 15, 2012

Uamuzi wa kwanza wa CPI : Thomas Lubanga Dyilo anahukumiwa kwa ajili ya makosa ya ku andikisha na ku ingiza ndani ya jeshi watoto wa umri ya miaka chini ya 15, tena nakuwatuma wapigane vita.

Tarehe 14 mwezi wa 3 mwaka 2012, chumba cha kwanza cha kesi cha mahakama ya kimataifa ya jinai, ndani yake majaji Adrian Fulford --jaji mkuu-, jaji Elisabeth Odio benito na jaji René Blatmann, kwa kauli moja, wali uhukumu Thomas Lubanga Dyilo kwa makosa ya jinai ya kivita aki andikisha na ku ingiza ndani ya jeshi watoto wa umri ya miaka chini ya 15, nadnia ya UPC/ FPLC tena nakuwatuma wapigane vita wakati wa vita iliyo pitikana Ituri, mu jamuhuri ya kidemocrasia ya Congo.

Thomas Lubanga alikuwa presidenti wa kundi la UPC, aki ongoza siasa, piya alikuwa kamanda mkuu wa kundi lake la kijeshi, FPLC.

Thomas Lubanga Dyilo; mwana inchi wa jamuhuri ya kidemocratisa ya Congo alipelekwa kwene La Haye mu tarehe 17 mwezi wa tatu mwaka 2006, ku fuatana na barua la kifungo lililo tolewa na chumba cha utangulizi. Kesi yake ili funguliwa mu tarehe 26 mwezi wa kwanza mwaka 2009.

Chumba kita panga kukaa ili yaku amua ku husu mwaka ya kufungwa ya Bwana Lubanga. tarehe ya siku hiyo ita tangazwa mu siku zijazo.

Loading...

to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...