Loading...

Trizah Njeri apuuza madai ana uhusiano na Maina Njenga

3,154 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Jul 23, 2012

Baada ya kujiepusha na vyombo vya habari kwa muda sasa hatimaye mkewe bingwa wa olimpiki Samwel Wanjiru ,Trizah Njeri amejitokeza kupinga madai ambayo yamekuwa yakienezwa kwenye mtandao na katika mitandao ya kijamii kwamba ameolewa na aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga.Ni madai ambayo pia yamepuuziliwa mbali na maina njenga aliyezungumza na QTV.

Loading...

When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...