Loading...

BONGO MOVIES TFF

46,620 views

Loading...

Loading...

Transcript

The interactive transcript could not be loaded.

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Sep 26, 2009

Katika harakati za kujikomboa na kulinda haki zao, wasanii wa filamu Bongo, wameunda Shirikisho ambalo wamelipa jina la Tanzania Film Federation (TFF). Lengo la shirikisho hilo ni kutetea na kulinda haki za wasanii nchini Tanzania kwa utaratibu utakaotambuliwa hata na serikali. Kipande cha video hii ni sehemu ya mkutano wao uliofikia maamuzi na kutangaza viongozi waanzilishi. Kipindi cha Bongo Movies kinachorushwa na kituo cha televisheni ya East Africa (EATV), cha Septemba 23, 2009, kilirusha tamko la wasanii hao..bonyeza player ujionee na kusikia yaliyojiri....

Loading...

to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...