Upload

Loading...

NGEGE AU "NYUNI"?

28,174

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on May 25, 2012

Aligonga vichwa vya habari miaka miwili iliyopita baada ya majaribio yake kupaa ndege yenye uzani wa kilo 750 aliyouunda kutumia mali ghafi kugonga mwamba. Gabriel Nderitu mtaalam wa mawasiliano ya kompyuta amerejea tena. Safari hii akijaribu kupaa ndege inayotumia kibonyezo au kiunga mbali. Mwanahabari wetu Hellen Kimaru anaangazia taarifa hii ya mwanamume mwenye ukakakamavu, ujasiri na imani ambaye haonekanai kukataa tamaa hivi karibuni hadi pale atakapouunda ndege itakayoweza kubeba rubani na abiria mmoja.

Loading...

Advertisement
When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...