Loading...

Jeshi la polisi mororgoro limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi.

3,334 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on May 10, 2013

Jeshi la polisi mkoani Morogoro limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wa mji mdogo wa Ruaha wilayani Kilosa kufuatia vurugu zilizodumu kwa muda wa zaidi ya masaa 9 kwa kufunga barabara na kuchoma matairi na kuweka mawe na magogo barabarani wakishinikiza kupinga uongozi wa kijiji.

Loading...

When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...