Loading...

#GoodSwahiliGospelMusic #Revo255 #RevolutionEntTz

Mr. Mike - Milele (Official Video)

48,601 views

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Jun 1, 2018

Mr. Mike performing Milele,
Milele is a song written by Mr. Mike
Produced by Yogo beats & Mo Shilla
Video has been visualized and directed by Lucca Swahili of Lucca Swahili Visuals


Link up with Revolution Entertainment
Instagram: https://www.instagram.com/revolutione...
Facebook: https://www.facebook.com/revolutionen...
Mail: tzrevolutionent@gmail.com

Phone: +255 717 294 671

(C) 2018 REVOLUTION ENTERTAINMENT


MILELE OFFICIAL LYRICS

Nimekua kibarua wako miaka mingi sana
Bila hata ya kujua ni nini ninachofanya
Wanitumia upendavyo faida wakusanya
Wanichekea pembeni shimoni nikizama

Hakuna nilichoshindwa vitu vyote nikajituma
Huku ukinitazama bila hata ya huruma aah x2

Niliwaza eeh ntatokaje maana mbele sikuona
Niliwaza eeh ntatokaje kumbe Bwana uliniona x2

Mi kwako Bwana

Chorus

Mi nang'ang' ana milele milele
Mi nang'ang'ana milele siachilii
Milele eeh
Mi nang'ang'ana milele milele
Mi nang'ang'ana milele kwako sitoki
Milele
Mi nang'ang'ana milele milele
Mi nang'ang'ana milele


Kama taabu nimepitia shida nyingi nimevumilia aah
Ila sasa kwa Yesu ninakimbilia
Kama tabu nimepitia shida nyingi nimevumilia
Aaaah aaaaah

Anaupendo wa kwelii sipati taabuu
Maswali mengi moyoni yeye ni jibuu
Udhaifu mwilini kwangu tabibu
Mawazo sina kwake yeye sina ghadhabu

Bridge

Niliwaza eeh ntatokaje maana mbele sikuona
Niliwaza eeh ntatokaje kumbe Bwana uliniona x2

Mi kwako Bwana

Chorus

Mi nang'ang' ana milele milele
Mi nang'ang'ana milele siachilii
Milele eeh
Mi nang'ang'ana milele milele
Mi nang'ang'ana milelekwako sitoki
Milele
Mi nang'ang'ana milele milele
Mi nang'ang'ana milele

Kwake Yesu milele
Na kaa nae milele
Nitadumu milele si mwachii

Kwake Yesu milele
Na kaa nae milele
Nitadumu milele sitokii

#GoodSwahiliGospelMusic #Revo255 #RevolutionEntTz

Loading...

When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...