Loading...

Miondoko - Wimbo wa 'Tokelezea'

70,117 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Uploaded on Nov 26, 2011

Kwa wanaofahamu Kiswahili barabara , hakuna jina kama tokelezea katika lugha hiyo. Lakini je , iweje kwamba jina tokelezea limekubalika na jamii kiasi cha kutumika kila mahali, hata mtu akivaa vizuri inasemekana ametokelezea, chakula kikiwa kitamu unasema kimetokelezea, na hata mtu akikubali mwaliko wako unasema ametokelezea? Ni jina ambalo wengi wameliiga kutoka kwa wimbo wenye anwani tokelezea uliocharazwa na wanamuziki Chantelle kwa usaidizi wa mwenzake Abass . Mwanahabari wetu Franklin Macharia alimsaka mwanamuziki Chantelle ambaye kwa mara ya kwanza anatuelezea ni kwa nini alitunga wimbo huo, haya ni makala ya miondoko.

Loading...

When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...