Loading...

Thomas Lubanga Dyilo ali hukumiwa kwa myaka 14 kwenye mahakama ya kimataifa ya jinai (CPI)

283 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Jul 10, 2012

Leo, tarehe 10 mwezi wa 7 mwaka 2012, Chumba cha kesi kinacho undwa na ma jaji Adrian Fulford, jaji mkuu, Jaji Elisabeth Odio Benito, na Jaji René Blattmann, kili mu hukumu bwana Thomas Lubanga Dyilo kwa myaka 14 ya kufungwa gerezani.

Chumba kina amua piya kama muda iliyo pita kati ya kuletwa kwa bwana Lubanga kwenye gereza la korti, tarehe 16 mwezi wa tatu mwaka elfu mbili na sita, na siku ya leo, i ondoshwe ku mwaka ya hukumu.
Tarehe 14 mwezi wa 3 mwaka 2012, Thomas Lubanga alihukumiwa kwa ajili ya makosa ya ku andikisha na ku ingiza ndani ya jeshi watoto wa umri ya miaka chini ya 15, tena nakuwatuma wapigane vita tangu tarehe moja mwezi wa kenda mwaka wa elfu mbili na mbili mpaka tarehe kumi na tatu mwezi wa mnane mwaka wa elfu mbili na tatu.

Jaji Fulford alisema hata hivyo chumba kili fuatana piya na tabia ya bwana Lubanga, hasa ushirikiano wake na Mahakama na hali yake ya heshima wakati wa uendeshaji wa kesi.

Habari kamili kwenye: http://www.icc-cpi.int

Loading...

to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...