Loading...

Migomo Yatatiza Serikali

261 views

Loading...

Loading...

Transcript

The interactive transcript could not be loaded.

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Sep 17, 2012

Kamati iliyoundwa kuongoza majadiliano kati ya waalimu na madaktari wanaogoma, haijafikia masuluhu yoyote. Serikali bado haijatoa mapendekezo yoyote yatakayowazuia mgomo huo kuendelea. Muungano wa wahadhiri, na wafanyakazi wa vyuo vikuu wamekaidi agizo lilowataka kurejea vyuoni hii leo. Kwa upande wao, muungano wa waalimu KNUT umeapa kutolegeza kamba hadi pale serikali itatimiza matakwa yao. Haya yakijiri, madaktari wa kitaalamu wameungana na madaktari wanafunzi katika mgomo. Chini ya muungano wa madaktari KMPDU, madaktari hao wanataka nyongeza ya marupurupu yao. Mgomo wa waalimu, wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma, umeingia wiki ya tatu hii leo.

Loading...

Advertisement
to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...