Loading...

Siha na Maumbile:Shinikizo la Damu Wakati Wa Ujauzito

5,982 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Jun 18, 2012

Asilimia 13 ya vifo vya kina mama wajawazito husababishwa na shinikizo la juu la damu, huku hali ikiwa chanzo cha tatu kikuu cha vifo vingi vya wajawawazito.Tatizo hili lisipodhibitiwa huwa hatari mno Kwa mama na mtoto wakati mimba inapoendelea kupevuka.Hata hivyo Hali hii ambayo wataalam wa afya wameitaja kuwa isiyoweza kuepukika kwa kina mama wengi wakati wa ujazito inaweza kudhibitiwa vyema na kunusuru maisha ya mama pamoja na mtoto kama anavyotueleza mwanahamisi Hamadi katika makala ya siha na maumbile wiki hii.

Loading...

to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...