Loading...

Marlaw - Bidii (Lyrics included) - HD - New Song October 09

79,190 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Oct 28, 2009

I have Just Received an Audio recording of the Song BIDII by Marlaw (Remembering Pipi?) from a very good friend of MINE, I have decided to write down the lyrics and turn them to a cool video!...

While watching and singing with Marlaw you should feel a little fresh since the theme of the video itself includes rain drops running down the background!, if you have a very neat computer screen you should be able to see the rain drop effects falling down your screen.

I Hope you'll enjoy this video and the moment i get the actual video i'll for sure post it here right on time.

Here is the lyrics just in-case you want to edit, copy and send it to your loved ones,

Disclaimer: LYRICS HAVE NOT BEEN CONFIRMED BY THE AUTHOR OF THE SONG, THEY MAY CONTAIN MISTAKES AND INCOHERENCY, PLEASE USE THEM AT YOUR OWN RISK.

Enjoy,

SzB.


Hey Hey, Hey (X8)

Hook:

Hey Hey

Ujue Baby Sivyo Unavyoniona Mi,
Naona Wasiwasi Mwingi Unapokuwa Na Mi,
Unawaza Mengi, Labda Maishani Uwe Namimi,
Kuwa Maskini Na Tabu Nyingi,

Napambana Kwa Bidii, Natafuta Kwa Bidii, Naenda Kazi Kwa Bidii, Sibagui Kazi,
Najifunza Kwa Bidii, Najituma Kwa Bidii, Naomba Mungu Kwa Bidii, Sijejuta Kuwa Namii Yee

Verse 1:

Na Daima *Go Niliishi Kwa Taabu, Sababu Ya Uzembe Wangu,
Nina-La-Lamika Mungu Na Uvivu Ni Wangu-U!

Sikujua Kitu Budget (Budget), Pesa Nitatumiaje (Aje), Nilijua Iko Pale Tuu-Pale Tuu,
Nilipinda Mi Balaa, Hata Nguo Tuu Kuvaa, Nilishinda Nina-Njaa,
Hata Shing-Kumi Sinaa

Ujue Baby Sivyo Unavyoniona Mi,
Naona Wasiwasi Mwingi Unapokuwa Na Mi,
Unawaza Mengi, Labda Maishani Uwe Namimi,
Kuwa Maskini Na Tabu Nyingi,

Napambana Kwa Bidii (Hey Hey, Hey), Natafuta Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Naenda Kazi Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Sibagui Kazi(Hey Hey, Hey),
Najifunza Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Najituma Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Naomba Mungu Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Sijejuta Kuwa Namii Yee(Hey Hey, Hey)

Nimejifunza Sasa, Naomba Ujipe-Maa, Sitocheza Kwa Saan Ama Business Man,
Ma Baibe Njoo Uelewe, Biashara Ndogo, Yes, Ndio Inafanya Tuule

Ujipe'ma, Kuwa Nami Enjoy, Wala Hatu-Destroy Budget Tuje Iumba,
N'lisha-Pinda Mi Balaa Me-Jifunza Mi Mama, Labda Mola Tu Apange,
Sio Kwa Uvivuu Tena

Ujue Baby Sivyo Unavyoniona Mi,
Naona Wasiwasi Mwingi Unapokuwa Na Mi,
Unawaza Mengi, Labda Maishani Uwe Namimi,
Kuwa Maskini Na Tabu Nyingi,

Napambana Kwa Bidii (Hey Hey, Hey), Natafuta Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Naenda Kazi Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Sibagui Kazi(Hey Hey, Hey),
Najifunza Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Najituma Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Naomba Mungu Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Sijejuta Kuwa Namii Yee(Hey Hey, Hey)

Nambieee-Eeey-Aaai,
Uuuuh-Hata Kama Mungu Hakunipa Vyote, Chochote Alichonipa Lazma'n'tumieee,
Akili Ntumiee, Miguu, Mikono, Nguvu, Kipaji Nionyeshe Baby----Y

Ujue Baby Sivyo Unavyoniona Mi,
(Oooh-Uuuui) Naona Wasiwasi Mwingi Unapokuwa Na Mi,
(Eeah) Unawaza Mengi,(Eeeei) Labda Maishani Uwe Namimi (Namimi),
Kuwa Maskini (Maskini) Na Tabu Nyingi (Eeeah),

Napambana Kwa Bidii (Bidii) (Hey Hey, Hey), Natafuta Kwa Bidii (Bidii)(Hey Hey, Hey), Naenda Kazi Kwa Bidii(Bidii) (Hey Hey, Hey), Sibagui Kazi(Hey Hey, Hey),
Najifunza Kwa Bidii (Bidii) (Hey Hey, Hey), Najituma Kwa Bidii (Bidii) (Hey Hey, Hey), Naomba Mungu Kwa Bidii (Bidii) (Hey Hey, Hey), Sijejuta Kuwa Namii Yee(Hey Hey, Hey)


Laiti Ungejua Najituma Sana, Baby Laiti Ungejua Napambana Sana, Eeeeh!
Wewe My Baby, Bidii, Bidii Yangu-Kwako,

Maisha Yetuu, Maisha, Mimi Na Wewe

Hey Hey, Hey (X4)

Laiti Ungejua Najituma Sana (Hey Hey, Hey), Baby Laiti Ungejua Napambana Sana (Hey Hey, Hey),
Baby Laiti Ungejua, Baby Laiti, Baby Laiti, Baby Laiti Ungejua Napambana Sana
Baby Laiti Ungejua Nakupendaaa.

Composed By: SzB
Song by: Marlaw
Title: Bidii

  • Category

  • License

    • Standard YouTube License

Loading...

Advertisement
When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...