Upload

Loading...

Maafisa Wakitambo wa Serikali Wahukumiwa

402 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Sep 10, 2012

Aliyekuwa Katibu katika Wizara ya Utalii Rebecca Nabutola amehukumiwa kifungo cha miaka 4 na faini ya shilingi milioni moja, huku Mkurugenzi Mkuu wa Zamani wa Bodi ya Utalii Nchini Achieng' Ong'ong'a akihukumiwa kifungo cha miaka 3 na faini ya shilingi milioni moja unusu, baada ya kupatikana na hatia ya kupanga njama ya kuilaghai serikali shilingi milioni 8.9. Hakimu Mkuu Mwandamizi wa Nairobi Lucy Nyambura vile vile alimhukumu mfanyibiashara Duncan Muriuki kifungo cha miaka 7 gerezani na akamwagiza kulipa faini ya shilingi milioni 17.8 la sivyo afungwe miaka mingine 3. Watatu hao walikabiliwa na mashtaka kumi na moja mbali mbali yakiwemo yale ya matumizi mabaya ya mamlaka kufuatia ziara ya kitalii katika mbuga ya wanyama ya Maasai Mara, ziara ambayo pia Rais Mwai Kibaki alikuwepo.

Loading...

Advertisement
When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...