Loading...

Jicho Pevu Keche Keche Mpakani 1

69,288 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Aug 31, 2010

Saa chache tu baada ya takwimu za idadi kamili ya wakenya kutolewa Jicho Pevu la Ktn limebaini wazi kuwa raia wengi wa kigeni kwa ushirikiano na maafisa wa kulinda usalama wanaingia nchini kinyume na sheria. Kwa siku, zaidi ya watu 160 huvukishwa mpakani mwa kenya na somalia kwa ada ya dola mia mbili za marekani, takriban shilingi elfu 17 za kenya. mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali alizama katika bahari ya lindi la ulanguzi wa watu, na alipoibuka kama kawaida yake alizuka na mengi ya kustaajabisha.Kama kawaida tunakusihi utulie tuli kama maji ya mtungi na ujionee jinsi mambo yalivyopangwa na kupangika.

Loading...

When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...