Loading...

YESU HAKUSEMA YEYE NI MUNGU

12,081 views

Loading...

Loading...

Transcript

The interactive transcript could not be loaded.

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Nov 12, 2008

Ni hatari wenzetu Wakiristo bado wameshikilia kumshirikisha Allah kumfanya amejifanyia mtoto,na kusema kuwa Mjumbe wa Allah, Yesu ni Mungu. Labda bado wenzetu hawajui hasa nani Mungu na sifa zake Mungu.

Quran inatuonesha sifa zake Allah.

'Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu' Quran 2:255

Allah awaongoe

Loading...

When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...