Loading...

Mzungu Kicha | Jitolee ft. Professor Jay & Mwasiti [Official Music Video]

200,139 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Jun 9, 2009

Jitolee ft. Professor Jay & Mwasiti - [album: Tuko Pamoja © 2009 Caravan Records]
BUY: http://itunes.apple.com/dk/album/tuko...

watch in HQ here: https://www.youtube.com/watch?v=haxMa...
The video was shot on location in Kariakoo, Dar es Salaam. The crowd you see are the people doing "business" in Kariakoo market.

Connect with Mzungu Kichaa on Facebook:
www.facebook.com/MzunguKichaa


ENGLISH SUMMARY:
Get up and do something! Pray to God that love does not disappear. This song talks about the injustices caused by greed and imbalance of power. The greedy will not rest in their graves.

LYRICS:
Uchumi unashangaza / Wengine wanayo wengine hawana / We mtajiri sikiliza mara moja / Usingekuwepo bila mama yako

Nani aliamua awe mama yako / Hiyo ndiyo uamuzi wa dunia / Kwahiyo lazima uyaheshimu / Pamoja na akina mama wote

Mikono juu / Jitolee na usaidie / Ombi kwa binadamu / Upendo usipotee

Heshima kwa wamama heshima kwa wababa / Heshimu kitu cha bure kila mtu anastaili / Ila dunia sasa imejaa kitendawili / Unyama ufedhuri sasa umeshika hataam / Viliyo vya kinamama imekuwa kama salaam / Jiulize ungekuwa nani kama asingekuwepo mzazi / Ubinadaamu kazi, dunia inapata radhi / Kila ninapopita matajiri hawana utu / Roho za umasikini zimetawaliwa na kutu / Wanataka maisha bora wavivu wakuthubutu / Waliyo kata tama sasa wana shika mtutu / Majani ananiambia twenzetu ado ado / Rusha mikono juu kama uko kamaligado / Espen obrigado

Kuna watu tofauti katika dunia yetu / Mmoja anajaribu kusaidia jamii / Wakati mwengine hatoi hata senti tano / Maendeleo hayana muelekeo

Kama tama inadumu kwenye kichwa chako / Hautakuwa na umoja na dunia / Binadamu baado wana lia / Umaskini unawabinia

Kwanini hautaki kuwasaidia / Kwenye kiburi hautatulia / Sababu ya kuletwa kwenye hii dunia / Baado haijafanyikiwa / Wewe ndiyo maskini / Na hakuna mwengine

  • Category

  • License

    • Standard YouTube License

Loading...

When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...