Upload

Loading...

News: Matokeo ya mtihani wa KCSE 2012

2,587 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Mar 1, 2013

Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya mwaka jana yametangazwa hii leo. Akitangaza matokeo hayo mapema leo, waziri wa elimu Mutula Kilonzo amesema watahiniwa wa mwaka jana wameonyesha kuimarika kwa viwango vya matokeo hayo kutokana na idadi ya wanafunzi laki moja ishirini na tatu elfu waliofuzu kwa kupata alama za kujiunga na vyuo vikuu humu nchini- yaani c+(plus). Ni matokeo yaliyoonyesha shule za watu binafsi zikifanya vyema zaidi. Haya hapa maswala muhimu yaliyojitokeza kwenye matokeo hayo.

Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv

Loading...

Advertisement
When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...