Loading...

Mohammed Ali kotini

98,280 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on May 14, 2012

ktnkenya.tv
Mwanahabari mpekuzi ambaye amesifika wa taarifa za Jicho Pevu ambazo zimepekua ufisadi wa kina kirefu serikalini na hata katika sekta za kibinafsi Mohammed Ali leo amefikishwa mahakamani kwa madai ya kuiba simu. Ali amefikishwa mahakamani kuhusiana na kisa kilichotokea mwaka jana. Mnamo mwezi Agosti mwaka jana ali alitakiwa kurejesha mojawapo ya simu alizokuwa nazo kwa kuwa ilikuwa imeripotiwa kuibiwa.

Loading...

When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...