Upload

Loading...

Sheria Mpya za Barabarani Kuanza Kazi

345 views

Loading...

Loading...

Loading...

Rating is available when the video has been rented.
This feature is not available right now. Please try again later.
Published on Nov 3, 2012

Sasa ni hatia kwa dereva yeyote kupitishia gari kwenye kituo cha mafuta au kwenye njia inayopaswa kutumiwa na wanaotembea kwa miguu kama njia ya mkato ya kuepuka msongamano wa magari barabarani. Haya ni kwa mujibu wa sheria mpya ya trafiki ya mwaka 2012 iliyoidhinishwa na Rais. Sheria hii inatarajiwa kupunguza pakubwa visa vya ajali barabarani ambavyo vimeongezeka tangu sheria zilizobuniwa na aliyekuwa Waziri John Michuki maarufu kama "Sheria Za Michuki" kuanza kupuuzwa

Loading...

Advertisement
When autoplay is enabled, a suggested video will automatically play next.

Up next


to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...