YouTube Inavyofanya Kazi

LENGO LETU

Kumpa kila mtu fursa ya kujieleza na kuonyesha wote matukio ya ulimwengu

Tunaamini kuwa kila mtu anapaswa kuwa na fursa ya kujieleza na kuwa ulimwengu huwa pahali pazuri tunaposikiliza, kueleza na kukuza jumuiya kupitia simulizi zetu.

Vinjari tovuti hii ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi YouTube inavyotimiza malengo haya.

MAPYA

Picha ya njia mpya za kusaidia vijana na familia kwenye YouTube
BLOGU

Njia mpya za kusaidia vijana na familia kwenye YouTube

YouTube ni sehemu ambayo vijana huja kutazama maudhui wanayopenda – iwe ni kujikumbusha masomo yao, watayarishi wanaowapenda, podikasti zinazovuma au video bora za matukio ya michezo.

Kulinda vijana katika ulimwengu wa kidijitali, si dhidi ya picha ya ulimwengu wa kidijitali
BLOGU

Kulinda vijana katika ulimwengu wa kidijitali, si dhidi ya ulimwengu wa kidijitali

Kuongezeka kwa umaarufu wa teknolojia mpya miongoni mwa vijana, iwe ni michezo ya video, simu mahiri au majukwaa ya utiririshaji, kumeibua maswali muhimu kuhusu si tu njia sahihi ya wazazi kuwasaidia watoto wao kufahamu mazingira ya teknolojia yanayobadilika; lakini pia jukumu ambalo udhibiti unapaswa kutekeleza katika kuwalinda na kuwawezesha vijana.

Picha “Njia 20 tunavyosherehekea miongo miwili ya YouTube”
BLOGU

Njia 20 tunavyoadhimisha miongo miwili tangu kuzinduliwa kwa YouTube

Furahia kwa sababu YouTube inaadhimisha miaka 20 tangu kuzinduliwa! Tangu klipu ya kwanza ya sekunde 19 hadi zaidi ya video bilioni 20 zilizopakiwa,1 ikiwa ni pamoja na muziki, Video Fupi, podikasti na zaidi, tumekua sana katika miongo miwili tu. Tunaanza maadhimisho yetu kwa njia nyingi za kusherehekea. Angalia baadhi ya vipengele, takwimu na vitu vyetu vipya fiche hapa chini ili kukusaidia kuadhimisha: