115
 • Kodi kwa Maendeleo - Duration: 8 minutes, 52 seconds.

  • 1 year ago
  • 200 views
  Katika muendelezo wa kipindi cha kodi kwa Maendeleo, Mamlaka ya Mapato ikiwa mkoani Dodoma imeendelea kuangazia mambo mbalimbali yanayofanyika katika ulipaji wa kodi hususani kodi za majengo.
 • Kodi kwa Maendeleo - Duration: 11 minutes.

  • 1 year ago
  • 62 views
  Mamlaka ya Mapato Tanzania imefika mkoani Dodoma kuangazia mambo mbalimbali yanayofanyika katika ulipaji wa kodi hususani kodi ya majengo.
 • Kodi kwa Maendeleo - Duration: 23 minutes.

  • 1 year ago
  • 98 views
  Meneja wa huduma na elimu kwa mlipa kodi, Gabriel Mwangosi azungumzia ulipaji wa ada pamoja na uhamishaji umiliki wa vyombo vya moto.
 • KODI KWA MAENDELEO - Duration: 24 minutes.

  • 1 year ago
  • 110 views
  Katika kutekeleza jukumu la kukusanya mapato ya Serikali, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yatoa elimu ya kodi ya majengo.
 • Kodi kwa Maendeleo - Duration: 24 minutes.

  • 1 year ago
  • 113 views
  Mamlaka ya Mapato Tanzania wamefika eneo la Mwanjelwa mkoani Mbeya kutoa elimu kupitia tamasha la elimu ya kodi kwa wafanyabiashara na kupata maoni yao juu ya ulipaji kodi.
 • Kodi kwa Maendeleo - Duration: 24 minutes.

  • 1 year ago
  • 27 views
  Mamlaka ya Mapato Tanzania yatembelea mpaka wa Horiri unaotengenisha nchi za Kenya na Tanzania ambako kuna kituo chenye lengo la kurahisisha shughuli zinazofanywa kwa upande wa forodha. Pata elimu ...
 • Kodi kwa Maendeleo - Duration: 24 minutes.

  • 1 year ago
  • 60 views
  Mamlaka ya Mapato Tanzania watoa waeleza mikakati waliyonayo ili kutekeleza jukumu la ukusanyaji kodi katika Mkoa wa Kilimanjaro.
 • Kodi kwa maendeleo tbc1 - Duration: 23 minutes.

  • 1 year ago
  • 41 views
  Mamlaka ya Mapato Tanzania wametoa elimu ya kodi kwa wananchi wa Boma ng'ombe, wilaya ya Hai na kwa watanzania wote kwa ujumla.
 • Kodi kwa Maendeleo - Duration: 24 minutes.

  • 1 year ago
  • 28 views
  Mamlaka ya Mapato Tanzania yatoa elimu kuhusu uingizwaji na uondoshwaji wa bidhaa katika maeneo ya forodha.
 • KODI NA MAENDELEO. - Duration: 23 minutes.

  • 1 year ago
  • 27 views
  Kaimu mkurugenzi wa Idara ya mambo ya ndani Bw. Salim Kessy akiongelea suala la maadili kwa watumishi wa Mamlaka ya mapato Tanzania katika ukusanyaji wa mapato.
 • Kodi kwa Maendeleo - Duration: 23 minutes.

  • 1 year ago
  • 29 views
  Kaimu mkurugenzi wa Idara ya mambo ya ndani Bw. Salim Kessy akiongelea suala la maadili kwa watumishi wa Mamlaka ya mapato Tanzania katika ukusanyaji wa mapato.
 • Mashine za kielektroniki - Duration: 23 minutes.

  • 1 year ago
  • 50 views
  Mamlaka ya Mapato (TRA ) yatoa elimu kuhusu utoaji wa Risiti za kielektroniki pamoja na utunzaji wa kumbukumbu.
 • UHAKIKI NA UBORESHAJI WA TAARIFA ZA WALIPA KODI - Duration: 25 minutes.

  • 1 year ago
  • 20 views
  Ungana na Mamlaka ya Mapato Nchini TRA kufahamu zaidi kuhusu zoezi la Uhakiki na Uboreshaji wa taarifa za Walipa Kodi,
  Zikizinduliwa rasmi na Kamishina Mkuu wa TRA Ndg. ALPHAYO KIDATA.
 • Mashine za elektroniki za kodi ( EFD ) - Duration: 23 minutes.

  • 1 year ago
  • 43 views
  Mamlaka ya Mapato (TRA ) yatoa elimu zaidi kuhusu mashine za elektroniki za kodi ( EFD ).
 • Mashine za kielektroniki za kodi EFD - Duration: 24 minutes.

  • 1 year ago
  • 27 views
  Ungana na Mamlaka ya Mapato (TRA ) kufahamu zaidi kuhusu mashine za elektroniki za kodi ( EFD ), huu ni mfumo wa kukusanya mapato kwa kuweka rekodi za mauzo na kutoa risiti kwa wateja.
 • Hakiki Taarifa Zako Sasa

  Zoezi la Uhakiki na Uboreshaji wa Taarifa za Walipa Kodi - Duration: 25 minutes.

  • 1 year ago
  • 78 views
  Ungana na Mamlaka ya Mapato Nchini TRA kufahamu zaidi kuhusu Zoezi la Uhakiki na uboreshaji wa Taarifa za Walipa Kodi,
  Zikizinduliwa na Kamisha Mkuu wa TRA Ndg. ALPHAYO KIDATA.
 • Umuhimu wa kudai Risiti - Duration: 2 minutes, 30 seconds.

  • 1 year ago
  • 49 views
  Mamlaka ya Mapato Tanzania imehimiza watu kudai risiti wanapopata huduma mbalimbali.
 • TRA Yafafanua Kuhusu Makato ya Kodi Asilimia 18. - Duration: 3 minutes, 11 seconds.

  • 1 year ago
  • 15 views
 • Wamiliki Wa Majengo Mwanza Watakiwa Kujisajili TRA. - Duration: 3 minutes, 6 seconds.

  • 1 year ago
  • 14 views
  Mamlaka ya mapato TRA katika mkoa wa Mwanza imewataka wamiliki wa nyumba za kupanga mkoani humo kujisajili katika mamlaka hiyo ili kuwezesha mamlaka hiyo kukusanya kodi kwa urahisi.
 • TRA Yazungumza Na Wateja Wake. - Duration: 56 seconds.

  • 1 year ago
  • 8 views
  Mamlaka ya mapato nchini TRA imetumia siku ya kilele cha utumishi wa umma kwa kuzungumza na wateja wake ili kuona kama wanaridhika na huduma za TRA.
 • TRA yawatahadharisha Walipa Kodi. - Duration: 3 minutes, 4 seconds.

  • 1 year ago
  • 9 views
  Mamlaka ya mapato nchini TRA imewataka walipa kodi kutumia miamala halali ya kulipia kodi ili kukwepa walanguzi wa kodi maarufu kama vishoka.
 • TRA Yawakalia Kooni Walioficha Makontena Bandarini - Duration: 86 seconds.

  • 1 year ago
  • 15 views
  Mamlaka ya mapato nchini TRA yakusanya bilioni 3 na mali yenye thamani ya shilingi bilioni 10 kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena yao bila kulipa kodi katika bandari kavu ya Azam.
 • TRA Yavuka Lengo La Ukusanyaji Mapato. - Duration: 2 minutes, 3 seconds.

  • 1 year ago
  • 10 views
  Mamlaka ya mapato nchini imeeleza kuvuka lengo la kukusanya mapato kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016.
 • TRA Yatoa Ufafanuzi Juu Ya Kodi. - Duration: 101 seconds.

  • 1 year ago
  • 4 views
  TRA Yatoa Ufafanuzi Juu Ya Kodi Za Miamala Ya Kifedha.
 • TRA Yakutana Na Wawekezaji Wa China - Duration: 110 seconds.

  • 1 year ago
  • 1 view
  Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imekutana na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka chini ili kueleweshana kuhusu kodi ya zuio inayotekelezwa na TRA kwa wafanya biashara na wawekezaji.
 • TRA Yakusanya Bilioni 1 - Duration: 2 minutes, 38 seconds.

  • 1 year ago
  • No views
  Mamlaka ya mapato nchini TRA imefanikiwa kukusanya shilingi trilioni 1.5 kwa mapato ya mwezi Mei mwaka huu.
 • TRA Yajipanga Kuongeza Mapato Zaidi. - Duration: 89 seconds.

  • 1 year ago
  • 8 views
  Kamishna mkuu wa mamlaka ya mapato nchini TRA amewataka wafanyakazi wapya wa mamlaka hiyo kufanya kazi kwa bidii ili kuongezea nchi mapato yake.
 • TRA Yahimiza Ulipaji Wa Kodi Kwa njia Ya Mitandao. - Duration: 89 seconds.

  • 1 year ago
  • 7 views
  Mamlaka ya mapato TRA imewataka watanzania kujenga mazoea ya kulipa kodi zao kwa njia ya mitandao ili kuokoa muda.
 • TRA Yafafanua Kuhusu VAT - Duration: 3 minutes, 25 seconds.

  • 1 year ago
  • 49 views
  Mamlaka ya mapato nchini TRA imezitaka taasisi za kifedha nchini zikiwemo benki kutoa taarifa sahihi kwa wananchi kuhusu mkanganyiko uliojitokeza juu ya uhalali wa VAT.
 • Mameya Wapinga Uamuzi Wa TRA Kukusanya Kodi Za Majengo - Duration: 3 minutes, 22 seconds.

  • 1 year ago
  • 12 views
  Mameya na wenyeviti wa halmashauri za jiji la Arusha wamepinga uamuzi wa serikali kuu kuamua kodi za majengo kukusanywa na mamlaka ya mapato TRA.
 • TRA Yagawa EFDs Wizarani - Duration: 52 seconds.

  • 1 year ago
  • 4 views
  Mamlaka ya mapato nchini TRA imetoa mashine za EFDs kwa wizara na taasisi 25 ili ziweze kuzitumia katika kukusanya mapato.
 • TRA Yasema Haita Rudi Nyuma Kukusanya Kodi - Duration: 90 seconds.

  • 1 year ago
  • 8 views
  Meneja wa mamlaka ya mapato TRA mkoa wa Mbeya amesema mamlaka hiyo itaendelea kusimamia sheria katika kutoza na kukusanya kodi.
 • TRA Yafafanua Kuhusu Makato ya Kodi Asilimia 18 - Duration: 3 minutes, 11 seconds.

  • 1 year ago
  • 22 views
  TRA Yafafanua Kuhusu Makato ya Kodi Asilimia 18
 • Maafisa Wa TRA Wapewa Vitisho Kagera. - Duration: 3 minutes, 18 seconds.

  • 1 year ago
  • 13 views
  Mkuu wa mkoa wa Kagera ameagiza kupelekewa majina ya wafanyabiashara wa bidhaa za magendo ambao wanawatishia maafisa wa TRA na maafisa wa ulinzi.
 • TRA Yaanza Kugawa EFD Bure Dar. - Duration: 74 seconds.

  • 1 year ago
  • 27 views
  Mamlaka ya mapato nchini TRA imeanza kugawa mashine za EFD bure kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa nchini.
 • Mkono Apongeza Kazi TRA - Duration: 94 seconds.

  • 1 year ago
  • 13 views
  Baada ya hivi karibu Mamlaka ya mapato nchini TRA kufungia ofisi za mbunge wa Butiama Nimrod Mkono kwa ukwepaji kodi, leo hii ameibuka na kusifu uamuzi huo na kuhimiza watanzania kulipa kodi.
 • TRA Kufanya Marekebisho Makubwa - Duration: 2 minutes, 12 seconds.

  • 1 year ago
  • 10 views
  Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imejipanga kufanya marekebisho katika utendaji wake ili kuondoa taswira mbaya iliojengewa hapo nyuma na pia kuhahakikisha inafikia lengo la serikali katika ukusanyaji...
to add this to Watch Later

Add to

Loading playlists...