Dhana mbalimbali hukabili jamii nyingi za humu nchini na kukita mizizi kuhusiana na kundi husika. Kuna watu au jamii zinazodhaniwa kuwa watu wakaidi, wenye hasira,wenye tamaa ya pesa,na hata kuwa wavivu. Jamii ya wakikuyu haijanusurika kutoka katika dhana hii kwani wengi wao hudhaniwa kuwa wapenda pesa na hata wenye uwezo wa kufanya lolote lile ili kupata pesa hizo hata kama ni kwa njia ya kuiba. Lakini wenyewe wanazipinga vikali dhana hizi kwa kusema kuwa wao hutegemea jasho lao na bidii yao ndio inayowapatia motisha ya kujitafutia pesa.
Stereo type not all kikuy's are wezi, not all Nyeri women abuse their husband.One thing i know is that they work hard
matts6894 11 months ago
kweli kabisa, wengi wa wakikyu ni wezi lakini wengi zaidi hawategemei mtu ila jasho yao wenye na niwatu wa bidii.
TheLakeview4 11 months ago
this is profiling and not culture. but nice job
mwasteve 11 months ago
@Mildred: never apologize for who you are...never ever! Fact: look at PLO's list of suspected thieves today? 25 years of Moi regime created these stereo types...precisely the reason we can't even reason as a nation!
siasabora 11 months ago
@maddozi: getoutofhere ukiwaletea ubabelon utanyoroshwa visawasawa...just because umebeba kajoka does not entitle you to BS Nyeri women...u will be straightened out..live!
siasabora 11 months ago
Now tribalists have a good platform to express their ignorance.....Cant wait for the day Kenya will have ethnic tolerance.
MildredMbogo 11 months ago
LOL!!!
MauMauMayhem 11 months ago