http://www.ntv.co.ke
Wenye magari ya uchukuzi wa umma katika barabara kadhaa za jiji la Nairobi, yasiyokimu masharti na kanuni za barabarani watakuna vichwa hadi jumatatu. Sababu hasa ni kwamba polisi wa trafiki wamenasa zaidi ya magari 270 katika oparesheni iliyotamausha sio tu wahudumu wa matatu bali pia abiria waliopiga guu kwenda makwao.
sifa mkubwa kwa polisi kwa msako wa matatu mbovu. Usalama wa abiria na kuleta kwa utii barabarani ni kitu muhimu
jugholder 2 years ago