Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

NYERERE SON OF AFRICA By Munishi

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
5,163
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Mar 20, 2009

CCM CHAMA ALICHOANZISHA NYERERE KIMEZEEKA. SERA MBOVU ZA NYERERE ZIMEIHARIBU TANZANIA. TUNATAKA MAPINDUZI TANZANIA. WE WANT CHANGE TANZANIA

  • likes, 2 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (6)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • munishi bure kabisa

    

  • wape kweli munishi

    kwani kweli inauma

  • acha ushamba wewe,SAMMYWACIAMA,

    yaani nyerere ndio alituachia usia huo wa kuuana? wewe nahisi si mtanzania,ndio nyie wakongo mnaoleta vurugu tu.unaongea pumba tu.hivi unajua hata kuuliwa kwa albino ilianzia wapi?

    misingi ya nyerere mojawapo ni kukufanya wewe kukaa na kuishi na watu tofauti ki kabila na kiitikadi.toeni sifa sehemu inayostahiki sio kudidimiza tu..au mpaka babu yako ndio angekuwa kiongozi ndio ungesifia!!

  • Ni siri iliyo wazi kwamba Nyerere aliamini katika ushirikina. Nchi aliizindika kwa mizimu. Utamaduni wa watanzania kuegemea zaidi katika imani za kichawi, ulianzishwa na Nyyerere. Wanamwita baba wa Taifa, mimi naona jina linalomfaa zaidi ni muuaji wa ALBINO. Ni sababu yake ndiyo ZERUZERU wanawindwa kama wanyama pori Tanzania. CCM chama alichoanzisha, Viongozi wake karibu wote ni washirikina. Wao ndio wanaoifanya biashara haramu ya viungo vya ALBINO ishamiri Tanzania. Na sasa nasikia hata Kenya.

  • Imani za kichawi alizoanzisha Nyerere, Ndizo zinazopelekea ALBINO kuuawa Tanzania. Wachawi na waganga wa kienyeji wana wateja wengi. Wengi wao ni wanasiasa wa CCM. Kutumia mbinu za kishirikina kubaki madarakani ni siri iliyo wazi Tanzania. Hatukosei kusema kwamba CCM ndio wanaowaua ALBINO. Wao ndio watumiaji wakubwa wa dawa zinazotengenezwa kutoka viungo vya ALBINO. Tunataka mahakama za kimataifa ziangalie suala hili. Walemavu Tanzania ni mtaji wa kuwaweka CCM madarakani. Msingi wa Nyerere.

  • Nyerere UJAMAA wake uliiharibu TANZANIA. CCM Imezeeka. Alisema ujamaa ni imani. Kama haikuwa imani kwa Mungu ilikuwa imani kwa nani kama siyo shetani? Msingi wa siasa za Tanzania ulijengwa katika ushirikina na uchawi. Siyo ajabu Tanzania ina export wachawi nchi jirani. Utaona mabango yaliyoandikwa MCHAWI MAARUFU KUTOKA TZ. Tuubomoe msingi mbovu wa Nyerere tujenge msingi mpya katika Imani ya MUNGU. Zeruzeru au ALBINO wanauawa kwa wingi Tanzania ili viungo vyao vitumike kutengeneza uchawi.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more