TANZANIA HIGH COMMISSION IN UK SCHOLARSHIP 2012

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
1,142
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Dec 13, 2011

Wakati wa kuadhimisha Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara Ubalozi wetu hapa nchini Uingereza wakishirikiana na Chuo kikuu cha mji Coventry wanapenda kuwatangazia wadau wote wa elimu kuwepo kwa Scholarship sita
maalum kwa watanzania ambazo zimetolewa kutoka katika Chuo kikuu cha Coventry katika nyanja zifuatazo:

1. MSc Oil & Gas Management Coventry Campus Kuanzia Septemba 2012

2. MBA Oil & Gas Management London Campus Kuanzia April, July, Septemba 2012

3. MSc Finance & Investment IAA Dar Campus Kuanzia Septemba 2012

4. MBA Logistics IAA Dar Campus Kuanzia Septemba

5. MSc Finance & Investment IAA Arusha Campus Kuanzia Septemba 2012

6. MBA Logistics IAA Arusha Campus Kuanzia Septemba 2012

Jinsi ya kujiandikisha, tembelea tovuti chini ifuatayo:
http://www.coventry.ac.uk/tanzania2012scholarship

kwa maelezo zaidi wasiliana na ubalozi wetu hapa London 00 44 20 7569 1470

Tafadhalini watanzania wote chukueni hii nafasi mapema iwezekanavyo kwa wale wote mnaopenda kujiendeleza kimasomo.

Asanteni Sana,

URBAN PULSE CREATIVE

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (0)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
Loading...

Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more