@mmaghfai Ukisema Nairobi sipingi katu unachokizungumzia. Lakini hilo la Mombasa sikubaliani nawe. Ukisema Unguja, Pemba na Tanga au niseme eneo lote la mrima au Upwa wa bahari Hindi nchini Tz nitakubali. Lakini Tanzania bara kila kabila husema Kiswahili kwa lafdhi zao. Mathalan "Kiswahili Sanifu" mtu husema "AFADHALI", baadhi ya watu TZ husema "afazali". Hilo hulipati Mombasa seuze Lamu. Watu wengine TZ husema "nasikiaga", "naendaga" kama vile ambavyo Kenya pia watu husema "nasikianga".
@buashraf Kwanza, sijamshauru aende Bongo, La pili, nilimshauri kwamba TZ kiswahili kina afadhali kuliko Nairobi na Mombasa. Au una pingamizi fulani na fikira zangu? tufafanulie zaidi tafadhali, tupate kuelewa unachotaka kusema. Asante.
@buashraf Kiswahili sanifu ni kile ambacho kinasomeshwa madarasani Afrika mashariki. ukienda matembezi nairobi au mombasa utaona kuwa watu hawaongei kiswahili cha kisawa sawa. Hata bongo ukifika utaona vijana wanaongea kiswahili ambacho sio sanifu. Kwa ufupi watu au vijana wanaibadilisha lugha ya kiswahili na wengi sikuhizi ndio lugha wanayotumia...Nataraji kuwa nimekuelimisha kidogo kaka Buashraf. Asante.
@ckathomi I lived in Meru (Nkubu and mitunguu) when I was 6 till 9 and I could speak it fluently at that time even the Meru people were shocked. Now all I can remember is a few words like gutu, nyooro, nderirwe, mbetage, kanyooni (a little kind of bird), nkandamia, etc. And my best friends at that time were Bundi, Muthomi, koome, gatobu, Kiendi, Ciru, Wangari, etc, lol. Those were the best years of my life. Which part of Meru are u from? I knew ur name sounded Meru
REST IN PEACE
WE LOVE U!!!!!
maryammja 2 months ago
Kiswahili saafi asli ni kiswahili cha watu wa PANGANI,KIGOMBE,MWARONGO,na TANGA.. Mombasa husema Ndoo, maana yake ati Njoo.
MrIbrahimaa 1 year ago
@mmaghfai Ukisema Nairobi sipingi katu unachokizungumzia. Lakini hilo la Mombasa sikubaliani nawe. Ukisema Unguja, Pemba na Tanga au niseme eneo lote la mrima au Upwa wa bahari Hindi nchini Tz nitakubali. Lakini Tanzania bara kila kabila husema Kiswahili kwa lafdhi zao. Mathalan "Kiswahili Sanifu" mtu husema "AFADHALI", baadhi ya watu TZ husema "afazali". Hilo hulipati Mombasa seuze Lamu. Watu wengine TZ husema "nasikiaga", "naendaga" kama vile ambavyo Kenya pia watu husema "nasikianga".
buashraf 1 year ago
@buashraf Kwanza, sijamshauru aende Bongo, La pili, nilimshauri kwamba TZ kiswahili kina afadhali kuliko Nairobi na Mombasa. Au una pingamizi fulani na fikira zangu? tufafanulie zaidi tafadhali, tupate kuelewa unachotaka kusema. Asante.
mmaghfai 1 year ago
@mmaghfai Chambilecho wewe Bongo pia vijana wanaongea Kiswahili ambacho si sanifu, sasa unamshauri mwenzio afike Bongo akafunzwe Kiswahili gani?
buashraf 1 year ago
@buashraf Kiswahili sanifu ni kile ambacho kinasomeshwa madarasani Afrika mashariki. ukienda matembezi nairobi au mombasa utaona kuwa watu hawaongei kiswahili cha kisawa sawa. Hata bongo ukifika utaona vijana wanaongea kiswahili ambacho sio sanifu. Kwa ufupi watu au vijana wanaibadilisha lugha ya kiswahili na wengi sikuhizi ndio lugha wanayotumia...Nataraji kuwa nimekuelimisha kidogo kaka Buashraf. Asante.
mmaghfai 1 year ago
@mmaghfai Nani kasema hayo? Kiswahili cha haswa ndicho gani hicho? Kiswahili sanifu ni kipi? Naomba unifahamishe!
buashraf 1 year ago
@ckathomi I lived in Meru (Nkubu and mitunguu) when I was 6 till 9 and I could speak it fluently at that time even the Meru people were shocked. Now all I can remember is a few words like gutu, nyooro, nderirwe, mbetage, kanyooni (a little kind of bird), nkandamia, etc. And my best friends at that time were Bundi, Muthomi, koome, gatobu, Kiendi, Ciru, Wangari, etc, lol. Those were the best years of my life. Which part of Meru are u from? I knew ur name sounded Meru
mmaghfai 1 year ago
I live love love love taarab best music ever and country coz a simple country gal
ckathomi 1 year ago
@Mmaghfai what happened do you still speak kimeru?
ckathomi 1 year ago