Taa hizi zinaweza:
1. kupa mwanga kidogo kwa chumba usiku kama mshimaa au koroboi
2. kama unatoa sehemu zinazo peleka mwanga kwa uelekeo mbalimbali unaweza kupata mwanga kutosha kusoma
3. kama una betteri zinazoweza kupokea charge (NiCad, NiMH) unaweza kujaza
4. kama una betteri kwa kawaida (Zinc-Carbon, Alkaline) zilizopoteza nguvu mpaka haziweza kufaa, zinaweza kuwaka taa aina hii kama taa (daifu) ya usiku.
Hii ni maelezo ya msingi. Huhitaji vifaa zaidi. Nitafanya moya tena kuhusu vipi unaweza kukumia kwa njia nyinginge.
(English-these lights can have a practical use in places without mains electricity as night safety light and reading light and charger)
Asante kushukuru!
Baba na kaka wa mke wangu wanatumia hizi kila siku Rwanda.
swahili77 2 years ago