Baadhi ya Wakenya wanaoishi Marekani wametoa wito kwa Wakenya wenzao kokote waliko ulimwenguni kuunga mkono mradi wa' Wakenya kwa Kenya' wa kupambana na janga la njaa uliozinduliwa na mashirika mbalimbali nchini Kenya. Na kama anavyoripoti mwanhabari wa NTV, BMJ Muriithji akiwa mjini Atlanta, Georgia, Wakenya wameendelea kuitikia mwito wa kuuchangia mradi huo.
Link to this comment:
All Comments (0)