Track = Yesu Ni Mambo Yote = By Pastor Faustin Munishi
Loading...
4,992
Loading...
Uploader Comments (gospelgtv)
see all
All Comments (3)
-
Jesus is everything in everything if you have him you have everything. thanks Munishi
-
Kila ninapo sikia mwimbo huu na maneno yalio ndani najisikia kubarikiwa na raha katika moyo wangu. Mungu akubariki zaidi pastor Munishi. Tobias Norway
Loading...
Ya ulimwengu ni sawa kujilisha upepo. Acha kuyasumbukia Tafuta Yesu upate vyote. Itakufaidi nini kuupata ulimwengu wote na uipoteze roho yako milele?
Duniani sisi ni kama maua. Huchanua kisha hunyauka. Lakini ukinyauka duniani siyo mwisho wako. Maisha ya Milele yakungoja. Na Yesu milele Mbinguni, Bila Yesu milele Jehanamu. Chagua Vizuri. Mkubali Yesu upate ya hapa duniani na baadaye uzima wa milele. Amen
gospelgtv 7 months ago