http://www.ntv.co.ke
Iwapo Louis Moreno Ocampo atarejea kenya mnamo Disemba alivyoahidi, basi ana idadi kubwa ya mashahidi na waathiriwa wa kutembelea. Pengine mmoja wao atakuwa Benard Ndege, aliyetambulika kote duniani alipowapoteza jamaa kumi na mmoja wa famila yake mjini Naivasha. Wake zake wawili na watoto tisa walichomwa ndani ya chumba cha kukodisha katika hatua iliyodaiwa kuwa ya kulipiza kisasi, wakati wa machafuko hayo. Sasa Ndege anasema yuko tayari kutoa ushahidi popote pale.
and people keep on singing about kiambaa...this is terrible....
ikiplagat1 2 years ago
Those who attacked that guy @1:19 should be identified and action be taken againist them.
WacheniUshenzi 2 years ago
And the best the pricks would come up with is take Ocampo to watch some depressed zoo monkeys and warthogs?
siasabora 2 years ago