http://www.ntv.co.ke
Maafisa wa serikali sasa wana chini ya saa 24 wawe wamebadilisha magari yao ya kifahari yanayotumia kiasi kikubwa cha petroli katika hatua ya kupunguza gharama ya matumizi ya pesa za umma. Makatibu wote wa wizara wanapasa wawe wametekeleza hatua hiyo kufikia kesho jioni. Kampuni ya CMC Motors ndiyo iliyopewa kandarasi ya kuwasilisha magari hayo mapya na sasa kazi kubwa ifanyikayo katika karakana yake ni kuyaandaa magari hayo.
German cars heheeeee,
TheAfricanQ 10 months ago
Alhamisi asubuhi Lolani Kalu wafuate barabarani makwao na ofisini tuone nani anakiuka amri!
siasabora 2 years ago