http://www.ntv.co.ke
Wafungwa 83 waliotiwa jandoni katika gereza la Naivasha mwanzoni mwa mwezi uliopita, wamepiga hatua nyingini katika kaida hiyo. Sasa wamefanyiwa sherehe ya kuingia katika rika la utu uzima iliyoandaliwa katika gereza hilo. Kulikuwa na shamrashamra si haba wakati wa sherehe hizo kama anavyotuarifu Lolani Kalu.
Wazee wanasakata rumba kweli, lol...ila tu matiti ni ndogo sana, ongeza size next party time!
siasabora 2 years ago
this looks like any american prison: it's full of blacks!
meldrey 2 years ago
Naivasha is a really progressive prison and I hope these guys are able to get rehabilitated and re-enter society as useful citizens once they are released.
surambaya 2 years ago 2