shinneshinney, Ndiyo hayo. Hawakusema kujifaragua kwasababu yamkini hawajui maanake. Tatizo ni kwamba hawa jamaa hujisemea vitu bila kuzingatia. Mtu yu radhi kubwaga msamiati mzito pengine kuonyesha kwamba anakifahamu Kiswahili.
Ninakumbuka tena sana. Ama kwa hakika ni jambo linaloudhi kuona jinsi watu wanavyoharibu Kiswahili. Ajabu hizi lugha za wazungu vigumu kuona wasemaji wazo wakizichezea watakavyo. Kama lugha ya mitaani, sawa. Watasema watakavyo lakini lugha sanifu hasa katika fani ya utangazaji, wao huhakikisha kwamba wanatumia lugha sanifu.
Nimekuelewa! si unakumbuka tulijadili kuhusu makabila mbalimbali ndiyo yanayosababisha haya matamshi ya vichekesho....kwa mfano, nishasikia watu wanasema "tulikwendanga" badala ya tulienda!!
Samahani nimekosea tahajia ya neno kuchungua. Nilitaka kukueleza kuwa kuvinjari ni kupitapita au kuzungukazunguka mahali kwa madhumuni ya kutaka kuchungua. Kuvinjari pia ni kujizatiti, kupania au kuazimia.
Asante sana! I know the meaning of vinjari but this was a rhetoric question. There is nothing like jivinjari in Kiswahili. Kuna watu wana mazoea ya kubandika kiambishi ji- kila mahali. Utasikia watu wakisema kujioga badala ya kuoga, kujiringa badala ya kuringa na kujivaa badala ya kuvaa. Kuvinjari ni kupitapita au kuzungukazunguka mahali kwa madhumuni ya kutaka kuchukungua. Pia ni kujizatiti, kupania au kuazimia. Vipi mtu atasema kujivinjari? Sawa kusema kuvinjari.
kuvinjari,ni kuburudika,kufurahia,kupumzika kiakili na pia kimwili
LadyAbeid 4 months ago
vinjari is go all over FOR FUN!
kuvinjari, ni kutembeatembea
kujivinjari, ni kujitembezatembeza
evolution ya swa, lazima. Even english has "your" and no longer has "thou".
CHANGE IS INEVITABLE, DUE TO OUR ADOPTION AND INNOVATIVE ABILITIES,, AND THE NEVER RELENTING NATURE.
ITS OUR TIME TO WRITE HISTORY AND OUR STORY WILL BE TOLD IN OUR OWN LANGUAGE.
davewanja 1 year ago
shinneshinney, Ndiyo hayo. Hawakusema kujifaragua kwasababu yamkini hawajui maanake. Tatizo ni kwamba hawa jamaa hujisemea vitu bila kuzingatia. Mtu yu radhi kubwaga msamiati mzito pengine kuonyesha kwamba anakifahamu Kiswahili.
buashraf 3 years ago
lol buashraf, kujifaragua nawe..lmao!!
shinneshinney 3 years ago
Ninakumbuka tena sana. Ama kwa hakika ni jambo linaloudhi kuona jinsi watu wanavyoharibu Kiswahili. Ajabu hizi lugha za wazungu vigumu kuona wasemaji wazo wakizichezea watakavyo. Kama lugha ya mitaani, sawa. Watasema watakavyo lakini lugha sanifu hasa katika fani ya utangazaji, wao huhakikisha kwamba wanatumia lugha sanifu.
buashraf 3 years ago
Nimekuelewa! si unakumbuka tulijadili kuhusu makabila mbalimbali ndiyo yanayosababisha haya matamshi ya vichekesho....kwa mfano, nishasikia watu wanasema "tulikwendanga" badala ya tulienda!!
mkuki2000 3 years ago
Samahani nimekosea tahajia ya neno kuchungua. Nilitaka kukueleza kuwa kuvinjari ni kupitapita au kuzungukazunguka mahali kwa madhumuni ya kutaka kuchungua. Kuvinjari pia ni kujizatiti, kupania au kuazimia.
buashraf 3 years ago
Asante sana! I know the meaning of vinjari but this was a rhetoric question. There is nothing like jivinjari in Kiswahili. Kuna watu wana mazoea ya kubandika kiambishi ji- kila mahali. Utasikia watu wakisema kujioga badala ya kuoga, kujiringa badala ya kuringa na kujivaa badala ya kuvaa. Kuvinjari ni kupitapita au kuzungukazunguka mahali kwa madhumuni ya kutaka kuchukungua. Pia ni kujizatiti, kupania au kuazimia. Vipi mtu atasema kujivinjari? Sawa kusema kuvinjari.
buashraf 3 years ago
-vinjari: go back and forth, cruising....!
mkuki2000 3 years ago
Kujivinjari ndiko kufanya nini?
buashraf 3 years ago