kuna mambo mengi sana yaliongelewa humo,kama msanii au mdau wa sanaa tanzania unaombwa kuskiliza hotuba hii na kisa kujadili nini kinatendeka na ni yapi ya kufanyika ili kusaidia kusafisha mambo yaliyotajwa humu ndani, MORE WWW.SWAHILIORIGINALTZ.COM
ninakubaliana sana na mambo yote aliyoyaongea Mr sugu na kama hivi tutakwenda nafikiri tutaweza kuwa sehemuambayo wengi watafurahia sana.hongera sana Joeph Mbilinyi
ninakubaliana sana na mambo yote aliyoyaongea Mr sugu na kama hivi tutakwenda nafikiri tutaweza kuwa sehemuambayo wengi watafurahia sana.hongera sana Joeph Mbilinyi
ilungasalle 5 months ago