Thug 1: 'Maze jo, usisahau, hundred thao.'.... 'Imeingia?'
Thug 2: 'Skiza, hatuchezi na watu, eeeh, tunajua mpaka mahali unaishi, tuma hiyo pesa kwa hii simu saa hii saa hii. Hundred thao. Na Usipotuma utajua malenge ni mboga! Tuma saa hii, staki kusikia.'
Classic.
kaffdenge 7 months ago
"... utajua malenge ni mboga." Classic.
Mugash 1 year ago
Thug 1: 'Maze jo, usisahau, hundred thao.'.... 'Imeingia?'
Thug 2: 'Skiza, hatuchezi na watu, eeeh, tunajua mpaka mahali unaishi, tuma hiyo pesa kwa hii simu saa hii saa hii. Hundred thao. Na Usipotuma utajua malenge ni mboga! Tuma saa hii, staki kusikia.'
stackofstiffys 1 year ago