@MyShau Tena injili yako bana sijawahi kuisikia popote pale Dunianu lakini najua kuwa biblia imeweka waza kila jambo na inasema pia kuwa siku za mwisho kutajitokeza manabii ta uongo na watu wafundishao mapotovu tu!! Wapendwa msikubali kukumbatia kifo! Biblia haijasema kama hivo ndugu yetu @Myshau alivyoropoka. Sina hofu juu ya kitu chochote kile kwani najua YESU, Mwana wa MUNGU aliyehai, NI MUWEZA pia hunipigania mimi siku zote, AMEN.
@MyShau Wee!!! Sikiliza. Bwana Yesu anakupenda ebu acha kuropoka kama huna la kusema bora unyamanze!!! ...badala ya kukaa unayakashifu maandiko ya biblia afadhali wewe ukae kimya uache kumkufuru muumba wako kwa maneno yako yasiyo na maana. Nafikiri unajua kwamba Bwana Yesu siyo binamu yako na wala hatanii siku zote. WAJINGA NDIO WALIWAO kumbe mtu anaweza kufanya kitu akidhani anatumia akili na maarifa bora kumbe ujinga mtupu!! Aisei. Sasa mimi nimegundua kumcha Bwana Yesu ni chanzo cha maarifa.

focaisawiza7 14 hours ago

Yesu ni muweza kweli .I have a very big testmony....God bless you with your family and reach you in all your needs.from Germany
safari2010ish 3 months ago
Good music God bless
MrOlenee 4 months ago
Yes my brother he makes way where there a no ways. he prepareth a table be4 the eyes of our enemies. JESUS IS ABLE IN ALL.
marugadeno 5 months ago
Yesu ni muweza yote kweli...this song inspires me realy.
kkarithi 6 months ago
Yesu ni muweza kweli!! This song really blesses me.
Mpendwamtoto 6 months ago
Awesome, is it
MrKingtobz 7 months ago
@TheZadwoman, Yesu ni Muwezaa means Jesus is able
manmmorgan 9 months ago
what dos jesu ni muweza mean?
TheZadwoman 9 months ago