Marijani Raajab - Mayasa
Uploader Comments (tizedboy)
All Comments (19)
-
hatotokezea kama yeye
Marijan nyimbo paka leo haikukifu kuisikilia
-
hili ndio gwiji la muziki
-
asante sana ti
zedboy
-
Nyimbo ni enzi hizoo tuu. siku hizi ni kuvuruga tuu hakuna waimbaji tena.Lol eeti bongo flava!! i cant listen to them kinda songs so call bongo flava even for a sec.
-
@tizedboy tutafutie wimbo wa chakubanga kijana acha ujinga
-
Do tizeboy hebu tutafutie wimbo wa chakubanga
-
Mayasa inanikumbusha home back milima ya kwetu Maramba in Muhinduro town the place which I born but now I have 20 without to see it lakina one day yes nitakwenda kuiona na ndugu zangu wagosi wa kaya walahi siamiani hiyo siku itakuwaje??
-
calalilho mayasa mbona wamchana mbavu... ndio tena mayasa kaingia mjini tena,
-
Reminds me of the good old days. Asante sana Tizedboy
-
TZBoy....hapa unatuua mwenzetu!
Na Zuwena je?. Leta yote!!!!.
letayote 3 years ago
Angalia Zuwena remake by Mr Paul feat. Marijani Raajab - Zuwena - with Lyrics katika "more from tizedboy". Original nitaitafuta na kuituma.
tizedboy 3 years ago
Hiki kibao kinanikumbusha mbali sana. Je una "mwanameta"?
buashraf 3 years ago
Mwanameka nimeshaiweka mtandaoni.
tizedboy 3 years ago