MATATU, is a daily tv show being aired on tv in Kenya. Every morning we pick up random passengers and with them we discuss the news, current affairs and things that affect their lives. We record every morning and broadcast that same evening.
On October 24, 2011 we discussed the question: Do you have faith in our military who are in Somali?
MATATU ni Kipindi cha kila siku katika Kenya. Kila asubuhi sisi huchukua abiria nasibu na pamoja nao sisi hujadili habari, masuala ya sasa na mambo yanayohusu maisha yao. Sisi hurekodi kila asubuhi na kutangaza kwenye televisheni jioni hiyo hiyo.
Siku ya Oktoba 24, 2011 tulijadili swali: Una imani na wanajeshi wetu kutoa magaidi Somalia?
Link to this comment:
All Comments (0)