Sheikh Mkuu wa Tanzania, Issa shaaban Simba atoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi nchini Tanzania, akiwataka waislamu wote nchini kufanya subira wakati majadiliano kati ya wanasheria wa Kiislamu na waserikali wakiendelea na majadiliano juu ya suala hilo.
Link to this comment:
All Comments (0)