Muziki na ushairi vinaendana vizuri kabisa katika mseto huu wa kuvutia wa video za muziki za wanamuziki mashuhuri wa Kitanzania. Zikiwa na dhamira mbalimbali, kuanzia mawasiliano kati ya mzazi na mtoto hadi unyanyapaa, kila video imeandaliwa kwa uangalifu ili kuonyesha masuala muhimu yahusianayo na VVU/UKIMWI.
kongole mfalme..wimbo mufti wanye ujumbe maridhawa...keep it up...ndo maanake usanii kuita kioo cha jamii.sio mipasho na maepnzi tuu...good work mfalme
sheshibeshi 1 year ago
mzee wallahi kibao hiti kinanipunga..ujumbe mufti kabisa..inafaa namna hii sio mipasho na mapenzi tuu!!heko mfalme baba
sheshibeshi 1 year ago
mzee yusuf mzee wa hekima
mrmwera 1 year ago