Remmy Ongala & Super Matimila Band - Asili Ya Muziki

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
14,652
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on May 25, 2009

Muziki asili yake wapi ee
muziki ni wanani ? eh
muziki hakuna mwenyewe
mziki ni mwito
mziki ni fundisho
mziki maombolezo
kilio
Usionione nikiiimba ukadhani niyayo furaha
kumbe ninayo huzuni moyoni


muziki a linga la nguvu duniaki kote [not clear]
ata makanisani wanaimba kwa kumuomba mungu ,kumuabudu kwa kumsifu mungu
ata kukiwa na sherehe za serikali mbele ya mwenye kiti kuhutubua ni muziki unaanza kwa kuwakusanya watu .
Kumbumbuka Paulo na Sila walimba gerezani mungu amewasikia
kumbukuka Musa aliimba mziki wa aina yake kuwakomboa wanaisraeli waliokuwa utumwani nchi ya misri
Ukiwa na sherehe utaimba nyimbo za furaha
ukiwa na taabu utaimba nyimbo za masikitiko
Ukifa leo utapelekwa kwa kaburini na nyimbo za maombolezo
Nimziki pekee uliona nguvu itawakusanya wabaya na wazuri siku ya mwisho mungu akitoa hukumu

Mziki sio uhuni
kama mziki ni huni kwanini unanunua kaseti ?
kama mziki ni huni mbona unaomba nyimbo redioni
kama mziki ni huni kwa nini unanunua rekodi
kama mziki ni huni unacheza muziki
kama mziki ni huni kwanini unafanya top ten show
kumbuka siku ya mwisho ikifika , kutakuwa mlio moja wa parapanda utakouwakusanya walioteule wote walioteuliwa kutoka pembe zote za dunia mungu siku ya mwisho akitoa hukumu [hukumu]
ata kwa mungu malaika wanaimba ooh

Muziki asili yake wapi ee
muziki ni wanani ? eh
muziki hauna mwenyewe
mziki ni mwito
mziki ni fundisho
mziki maombolezo
kilio
Usionione nikiiimba ukadhani niyayo furaha
kumbe ninayo huzuni moyoni

Muziki asili yake wapi ee
muziki ni wanani ? eh
muziki hauna mwenyewe
mziki ni mwito
mziki ni fundisho
mziki ni maombolezo
kilio
Usionione nikiiimba ukadhani niyayo furaha
kumbe ninayo huzuni moyoni

Translation coming soon

Remmy Ongala and his Super Matimila Orchestra are without doubt one Tanzanias most well known band. Remmy Ongala is originally from Zaire/Congo. He lost his mother when he was nine years old and had to take on the responsibility of raising his siblings. As a 17-year-old he was in a youth band, Bantu Success, as a singer and drummer. This was not popular with his family, so Remmy had to leave the band. Two years later he was again involved with music when as a guitarist he joined a few groups, among them Mickey Jazz in Zaire and Grand Mika Jazz in Uganda. In 1978 he moved to Tanzania and joined his uncles band, Orchestre Makassy in Dar es Salaam.
In 1981 he joined forces with Matimila, an 18-member band owned by a local businessman. Later on he formed Super Matimila and developed a style based on three guitars, bass and drum, plus saxophone. Remmy Ongala based his music on Soukous, that he proffers in a more raw version than usual, rooted as it is in local Tanzanian traditions.
He sets great store by Swahili lyrics that often have political stings against the wielders of power of all description, but he also shows a loyal defence of the common mans condition. Because of the lyrics so-called healing properties he is called The Doctor and is an enormously popular man in the Sinza neighbourhood, on the outskirts of Dar es Salaam, where he lives with his English wife, five children and a parrot.
The last few years he has not been able to perform as often as before, due to his suffering from diabetes [from lastfm.com]

Category:

Music

Tags:

License:

Standard YouTube License

Link to this comment:

Share to:

Uploader Comments (tyty1794)

  • Go in Peace, Doctor...

  • Ramadhani Mtoro Ongala 1947 - Dec 12 2010(DarEsSalaam)

Video Responses

see all

All Comments (16)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • We did play a few tunes from Sardinia and Tanzania in 2006 at WOMAD in Venice in the Back Stage (Palazzo Asociazione degli Alpini) close to piazza San Marco.

    Thank you Remmy, I'm shure u'll be in Paradise cause of your beautiful Musix.

    Gesuino Deiana.

  • buena musica

  • R.I.P you left a mark!!!

  • Legendary, one of Africa mighty Gitarist composer and solo artist big man sura mbaya we love u and your legacy will live forever rest in peace Remmy for ever will celebrate u and your music.

  • Rest in Peace we love you in East Africa

  • Rest in Peace we love you in East Africa

  • my favourite musician.......

  • MUZIKI ASILI YAKE WAPI?nakumbuka nimejituliza pembeni ya kijiredo chetu nikisikiliza Radio Tanzania Dar es salaaam..

Loading...

Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more