http://www.ntv.co.ke
Rais Mwai Kibaki amemuandikia barua rais wa Marekani Barack Obama akielezea kutamaushwa kwake na hatua ya Marekani kutoa onyo kwa maofisa kumi na watano wanajumuisha mawaziri. Ni mara ya kwanza rais ameandika barua ya malalamiko kuhusu itifaki kwa taifa la kigeni. Lakini kuna utata kwani waziri mkuu alinukuliwa akiunga mkono hatua ya Marekani kutoa onyo hilo.
What language is this ? Swahili or Lengala or other ?
envanje 2 years ago
Great job! I love the United States.
freegastanker1 2 years ago