Bwana Unaweza
Uploader Comments (otisjalwedo)
Top Comments
-
kristo jana leo kesho daima na milele wimbo mzuri sana watukumbusha kukaa kwenye maombi.
-
Perfect make me go home! put some more please...
All Comments (21)
-
Ujumbe msafi kabisa...hata miye ni mpiga kinanda na mwanamuziki na nimeguswa sana na wosia wa wimbo...hongera kwa wote waliohusika kwa kazi mufti ya utunzi na kuuimba huu wimbo.
-
maombi huu ni wa kwako unakumbuka
-
New songs coming soon!
-
i just love you people
-
nitasame upwa kwa huruma yako..Bwana
-
God bless you St. Cesilia. Nimefarijika sana binafsi kwa wimbu huu. Kweli Bwana anaweza sana.
-
kweli unaweza bana:P:P
-
Blessings na wengineo, Jamaa anaitwa G.C Mkude. Ni mpigaji mzuri wa organ na amepigia kwaya nyingi sana, ninaomba jamani nyimbo za RC wenye nazo basi watuwekee humu manake naona ni chache na tulio mbali na nyumbani tungependa pia kuziona. Ni njia pia ya kuzifanya hizi kwaya zetu zifahamike kimataifa. Asante Otisjaweldo
-
Mhhhh.
What an inspiration. takes me to heights that nothing else would. Really makes me experience God a fresh when I listen. Don't you. God bless all of you puting in these musics.
Hicho kinanda cha kupiga kwa mikono na miguu si mchezo hata kidogo, inahitaji utulivu na adabu ya hali ya juu katika kuunganisha na kuambatanisha sauti.
Safi kweli!
Asante "otisjalwedo" kwa kupakua wimbo huu hapa youtube!
subira 4 years ago
Asante sana "Subira" kwa kushukuru. Natumai kinada itapata kukutumbuisha vizuri!
otisjalwedo 4 years ago