20% - Maisha ya bongo
Loading...
42,962
Loading...
Top Comments
see all
All Comments (25)
-
hongera kijana mziki huu una loloma ata hapa congo katanga na kalemie nzima asante
-
Dah lakini tukazane tu ipo siku tutatoka
-
best message
-
endelea kutoa ujumbe kaka mpaka kikwete aelewe maisha ya bongo yanavyo tisha
-
feel u bro,same in streets za Nairobi Kenya..one luv
-
HUYU MSHKAJI ANAIMBA MAADILI, NAMKUBALI KICHIZ
-
baadhi ya viongoz waliopewa mishumaa kutumulikia wamechuna.
-
imetuliaaa tatizo viongozi wa tz wanajiangalia wao tu,nchi tajiri sana lakini tunasema masikini wakati viongozi wao watoto wao tunao huku inasoma mitoto yenyewe haina lolote kichwani,maisha magumu bongo,elimu, afya, living standard ,jobs,
-
Mwana nyimbo zako zimetulia sana!
Loading...
one of the best songs i've heard from bongo. a song with a good massage.from nairobi kenya ....my brother thanks for that song. rythym nzuri , uimbaji mzuri, mpangilio sawa. mziki huu wako umeshinda ,miziki mingi inayoim'bwa bongo....thanks brother ...from nairobi kenya
dotsao 2 years ago 6
big up 20%, big up Tanzania-authentic Africa; the land of Zanzibar, Kilimanjaro, Ngorongoro and Serengeti!
tanzanianboy 4 years ago 6