@MrSinafungu wa kwanza kulia mbele waliochuchumaa mwenye kamera kifuani ni Max Bushoke pia yuko hai South Africa, katikati ni mpuliza domo la bata Joseph Benard yupo still hadi sasa kwenye bendi na Jamwaka kule nyuma
Of all the songs I have ever heard the creative arrangement of music and tempo, modulation, refrain, instruments, voices,in this song.. oh my ! We talk about Mozart and schubert and Handel but here we have greater than those. They may not be in the guiness book of records but they live forever in the annals of Great African Music.
@Fiskarrr ,kiswahili chako ni kizuri. ombogo, miaka ile hata huko kenya miziki ilikuwa ni mizuri sana , zile band zoote zilizokuwa zikiungurumisha midundo sasa hazipo tena, tumebaki ba kumbukumbu hizi tu , inatosha ni kazi yake mungu
vipaji hivi hakuna tena , jamaa wameaondoka na ujuzi wao . leo hii hakuna muzik bali kuna kelele tupu. ongera sikinde , na ninyi mliobakia basi endeleeni kulienzi na kulitunza hilo kundi
Afrika nitaishi hapa, nitafia hapa, Afrika ni kwangu, Afrika inamambo yake, inaraha zake, inatamaduni zake.....na huu ndio Music wetu. I love Afrika , I love Tanzania.
Sijui kuelezea vema katika lugha ya swahili kwani mimi nilizaliwa kule Kenya magharibi hata hivyo ningependa kuchukua nafasi hii kuwasifu sana hawa ndugu zetu mashuhuri kutoka Tanzania kwa ujuzi wao kabambe kimziki.
Nakumbuka wakati huo nilikuwa katika darasa la saba kuelekea high school na ilifikapo saa tatu ya usiku, nilituni Radio yetu ndogo `National Panasonic' kusikiliza kipindi cha salamu za jioni kutoka radio dar-es-alam.
tauzan, si kweli kuwa wote hawapo, baadhi yao bado wapo, mfano huyo aliyejishika kidevu ni HASSANI REHANI BITCHUKA bado yu hai, kadhalika suti hiyo inayoimbisha ni ya COSMAS CHIDUMULE (kiatu cha yesu) naye yupo ingawa kwa sasa anaimba ny

bcamerounne 1 month ago
hii nyimbo ni nzuri inanikumbusha enzi zangu za school
eastafrican11 4 months ago
Of all the songs I have ever heard the creative arrangement of music and tempo, modulation, refrain, instruments, voices,in this song.. oh my ! We talk about Mozart and schubert and Handel but here we have greater than those. They may not be in the guiness book of records but they live forever in the annals of Great African Music.
mamasoloash 11 months ago
@Fiskarrr ,kiswahili chako ni kizuri. ombogo, miaka ile hata huko kenya miziki ilikuwa ni mizuri sana , zile band zoote zilizokuwa zikiungurumisha midundo sasa hazipo tena, tumebaki ba kumbukumbu hizi tu , inatosha ni kazi yake mungu
MrSinafungu 1 year ago
vipaji hivi hakuna tena , jamaa wameaondoka na ujuzi wao . leo hii hakuna muzik bali kuna kelele tupu. ongera sikinde , na ninyi mliobakia basi endeleeni kulienzi na kulitunza hilo kundi
MrSinafungu 1 year ago
Afrika nitaishi hapa, nitafia hapa, Afrika ni kwangu, Afrika inamambo yake, inaraha zake, inatamaduni zake.....na huu ndio Music wetu. I love Afrika , I love Tanzania.
Sikinde Ngoma ya Ukae
mwasakafyukasamson 1 year ago
@Fiskarrr hallo there huu mziki ni kali sana
omshilla 1 year ago
Sijui kuelezea vema katika lugha ya swahili kwani mimi nilizaliwa kule Kenya magharibi hata hivyo ningependa kuchukua nafasi hii kuwasifu sana hawa ndugu zetu mashuhuri kutoka Tanzania kwa ujuzi wao kabambe kimziki.
Nakumbuka wakati huo nilikuwa katika darasa la saba kuelekea high school na ilifikapo saa tatu ya usiku, nilituni Radio yetu ndogo `National Panasonic' kusikiliza kipindi cha salamu za jioni kutoka radio dar-es-alam.
Ngoma zililia kwa vishindo hadi saa sita usiku.
Ombogo. Florida.
Fiskarrr 1 year ago
tauzan, si kweli kuwa wote hawapo, baadhi yao bado wapo, mfano huyo aliyejishika kidevu ni HASSANI REHANI BITCHUKA bado yu hai, kadhalika suti hiyo inayoimbisha ni ya COSMAS CHIDUMULE (kiatu cha yesu) naye yupo ingawa kwa sasa anaimba ny
MrSinafungu 1 year ago
mmepishana-lol
babalisa06 2 years ago