yo supugrl, mkono wa mkunure ni mtalamu kwa kuunganisha mapenzi ya hellen na hans...ni hustla, kila siku anamwambia hellen kwamba njaa inamuuma...iyi movie ni ya pili, kuna johari 1...hellen kipindi alicho kuwa anampenda hans njo alimpatiaga mission ya kumuunganisha na hans, hans njo akakataa, ivi sasa anajuta...aliambukizwa ukimwi na johari ivi anamtaka hellen...hellen hataki...
nataka kununua dvd,s za johari na zingine za tanzania, sasa nawezajaja kununua na wapi ?
shighatini8 1 year ago
Helen wacha ujinga!
kenyantodeath 1 year ago
hellen aache kujifanya kondoo
87986100 2 years ago
Muambia mukono itafute kazi ata anderea kuomba paka rini?
Ihoritera 2 years ago
yo supugrl, mkono wa mkunure ni mtalamu kwa kuunganisha mapenzi ya hellen na hans...ni hustla, kila siku anamwambia hellen kwamba njaa inamuuma...iyi movie ni ya pili, kuna johari 1...hellen kipindi alicho kuwa anampenda hans njo alimpatiaga mission ya kumuunganisha na hans, hans njo akakataa, ivi sasa anajuta...aliambukizwa ukimwi na johari ivi anamtaka hellen...hellen hataki...
bbxx2 3 years ago
sasa huyo mkono anamuomba hellen pesa kivipi?
supugrl 3 years ago
kali sana
musinho18 3 years ago