GOSPEL Track: MALEBO By Pastor Munishi GTV
Uploader Comments (Munishi2)
All Comments (94)
-
This song brings back all the memories flooding back in the day when he used to be my Quzos Neighbour in Donholm I grew up knowing him Munishi jus great blessed Voice
-
jamani huu wimbo nakumbuka tukiimba in 1997 wakati nipo darasa la saba asante sana!!!
-
i love ur song malebo i used to listen to your song 1993 with my aunty and now am enjoying it in england thank you so much malebo
-
Aliyekuwa Rais wa tatu Tanzania Benjamin William Mkapa tulisoma pamoja, Michezo ya utotoni tukaicheza Pamoja. Sasa ni watu wazima na mimi Nimeokoka au kuzaliwa mara ya pili. nikimwambia Aokoke yeye anaruka Kimanga. Niliposema CCM Imezeeka, Mkapa alitaka kunitoa Roho. Najua Tatizo lake. Sikia wimbo huu. TRACK : Namlilia Malebo - By Pastor Faustin Munishi GTV
-
malebo huyo mbona ni hatari kweri
-
wimbo umenikumbusha mbali sana. ts a great song. i love it.
-
i love this song
-
God bless you Pastor Munishi
-
i hadnt heard this song like maybe 14-15 years..... I remember travelling to Nakuru and listening to this tape over and over again. Blessed love to munishi, i believe a few million east africans have and will forever be touched by this voice and message to inspire and motivate them. More powers
Hi Munishi, I always loved your songs. I was a missionary in Tanzania from 1994 to 2003 and your songs were already famous then ...
mswisi 3 years ago
Asante ndugu yangu mswisi. Mungu azidi kukupa nguvu urudi tena Tanzania. Bado INJILI tunahitaji.
Munishi2 3 years ago
Kuhusu nani ni MALEBO, Hiyo mtajijazia wenyewe.Angalieni kwa makini nani ambaye sifa za MALEBO zinamkaa sawa sawa, Kisha toeni maoni yenu. Ila naona wengi hawakosei. Mtu ambaye Dunia nzima ilikuwa kinyume naye isipokuwa MUSEVENI pekee, Huyo ni nani? Mtu ambaye Walimstahi ndiyo maana wakapendekeza agawe madaraka, ni nani? Ninapomlaumu simhurumii namsaidia.
Munishi2 3 years ago