Lugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lugha iliyosifika katika afrika mashariki,lakini sasa imo hatarini kwa mwenendo wa sheng na engsh kuchipuza na kuathiri ndimi za vijana mitaani. Aidha wengi wao hubakia kufahamu Kiswahili katika ngazi ya kukiandika pekee kutokana na shinikizo darasani lakini ifikapo wakati wa mawasiliano mambo hua tofauti. Mwana habari wetu Saida Swaleh alichana mbuga na kuzungumza na vijana wanaoenzi seheng pamoja na waalimu wanaoona lugha hiyo kama changa moto katika kufunza kiswahili hasaa katika maeneo yasio na tamaduni ya kuzungumza Kiswahili.
fucking stupid Kenyan youth speak either English or swahilli not that jamaican
kentosh120 1 week ago
eh saida joo uko fresh kaa handas..msupus kibao..niaje basi situishie date ama?..ni ku buyia chipo halafu ka fila baadaye..hebu holla baby gal..kaa umenoki na vako zangu!! lol
TheFirimbi 7 months ago
l understand that kiswahili is a language that children shouldn't loose, but they have to speak SHENG, to feel themselves involved with the society. That's my opinion. Good day!!!!
winlis25 7 months ago