http://www.ntv.co.ke
Hiyo ndiyo hali inayowakabili wakimbizi wa ndani ya nchi katika kambi na vibanda vya mashinani. Viongozi wa serikali waliopewa jukumu la kuwapa wakimbizi wa ndani ya nchi makao mapya na pia kuwawezesha kuanza maisha mapya wangali kutimiza ahadi hiyo. Suala hilo limeibua utata kuhusiana na zilikoishia zaidi ya shilingi bilioni mbili kutoka kwa bajeti na Harambee iliyofanywa kufungua hazina ya wakimbizi hao. Irene Choge alimtembelea waziri wa ardhi James orengo kujua suala la ardhi ya wakimbizi lilikwamia wapi.
Orengo: the Tribal Clashes Banker!
So part of the money raised and donated should be placed in a bank, presumably of your choice, awaiting future tribal clashes? or buy some vacant land in Utopia so when RV erupts he moves the newly created IDPs there? very clever,Ha?
Why do these guys think all Kenyans are stupid?
siasabora 2 years ago