ABDALLA ISSA-LEO TENA
Uploader Comments (bamariz)
Top Comments
-
Great love long...........That freaking indian movie ruins it, whyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.
-
kwani nyie hamna wAfrica wa kuwapresenti?
All Comments (53)
-
@bamariz Hapo umesema haina huja kuijuwa asili ya nyimbo wala mtunzi na mgani wake, chamsingi lina tukonga nyoyo zetu siye wapenda Old Coastal Taarab.
-
Wimbo huu wa Mzenji alikuwa Dubai na kikundi chake.
Hii ya uhindi kweeli imeharibu, samahani mwenye kuweka hii nyimbo.
-
Kweli wimbo zuri, lakini mbona nyinyi mko cheap hivyo kuweka picha za kihindi hapa. Kwani warembo wa kenya, TZ na Zanzibar washa kufa wote. Jivunie kuwa wewe muafrika na uache inferiority complex hiyo unatuonesha hapa.
-
Huyu nilonae sasa,anipendeza kwa mengi. Raha na kila anasa,ndio ukaona sikongi. Sikuregei kabisa,nilikovunja sijengi. Menichosha vyako visa,nakujua kwako kwingi. Ulidhani ntakosa,hukujuwa mko wengi......
-
lol! eti kenya taarab.. no balls huh?
-
love the song
-
is lovely song
-
Yes indeed-I should have included birthright, immigrants etc. But in my mind I ment anyone who regards themselves as African-"claim your identity and rightful place" yes indeed- we have "Africans whose ancenstry origins are from else where- this has been the case for hundreds of years to be precise. Thank you
SKIZA NYIMBO KAMA WAONA 2KO CHEAP USIANGALIE...kuna wengine sijui wazimu hoo hii nyimbo ya tz mara kenya(ukabila 2) wee skiza usitakee kujua umetoka wapi wala hakuna pahali kumeandika huu wimbo wa kenya or tz.enjoy guyz
bamariz 5 months ago 2